
Nadharia za Uhakiki kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi
Activity (views + downloads) over time
Citations by year
No citation data available yet.
Abstract
Utunzi na uhakiki wa fasihi ya Kiswahili umepanuka sana katika miongomitano iliyopita. Makala haya yananuia kuonyesha dhima ya nadhariakatika kutaalamisha usomaji wa fasihi. Nadharia za uhakiki (na wakatimwingine za utunzi) zimepevusha usomaji na uhakiki kwa viwango ambavyohavingeweza kukadirika hapo awali. Kwa njia hii, lugha ya Kiswahiliimeweza kueleza maarifa anuwai kwa viwango vya juu. Nadharia namikondo ya uhakiki kama usemezano na udenguzi vimetuwezeshakuchanganua matini ya kifasihi kwa jicho la upekuzi. Kwa upandemwingine, changamoto katika utumiaji wa baadhi ya nadharia hizizimejitokeza na zinapaswa kutathminiwa katika mazingira ambamo lughaya Kiswahili inaendelea kutumiwa kufafanulia ujuzi wowote ule. Makalahaya yanatalii manufaa ya matumizi ya nadharia katika uhakiki na kuwekawazi matatizo yanayoandamana na matumizi ya baadhi ya nadharia hizo.Hatimaye, njia mwafaka ya kufuatwa imependekezwa.