Je, Uamuzi wa Kutumia Kiswahili Mahakamani Unatosha Kuleta Haki?

429 Article Views All time
0 Downloads All time
0 Citations Source: OpenAlex

Activity (views + downloads) over time

Citations by year

No citation data available yet.

Abstract

IkisiriMakala haya ni mwitikio kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniakuonyesha kukijali zaidi Kiswahili na hatimaye Bunge kupitisha Mswada waMarekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2021 kukifanya Kiswahili kiwelugha ya sheria na maswala yote yahusianayo na utoaji wa haki nchini. Mbalina kupongeza upandishaji ngazi Kiswahili, makala haya hujaribu kusemakwamba kukipandisha Kiswahili peke yake hakutapunguza ugumu wa lughaya sheria, na hakutatufikisha kwenye hatua ya muhimu zaidi, mgawanyo sawawa rasilimali lugha kati ya wakili na shahidi wakati wa mahojiano-bomozi.Makala haya yanapendekeza mapitio ya tafsiri zilizokwishafanywa kwakuzingatia kwamba tafsiri za kisheria ni tofauti na nyinginezo; ianzishwekampeni ya lugha rahisi ya kisheria kwenye makala yote ya kisheria; itafutwenjia ya kulainisha mahusiano kati ya sheria, haki na jamii au umma waWatanzania. Mwisho, makala haya hupendekeza mfumo wa sheria waadvesaria utazamwe karibu pamoja na ule wa inkwizitoria ili kuona jinsiinavyoweza kupatikana njia nzuri ya kutoa au kuchukua ushahidi ambayoitazingatia mgawanyo wa rasilimali lugha.Dhana za msingi: Advesaria, haki, inkwizitoria, Kiswahili, mahakama, sheria,TanzaniaAbstractThis paper is a follow up to the Government of Tanzania ' srecognition of Kiswahili and the ensuing Written LawsMiscellaneous Amendment Act of 2021 to declare Kiswahili as thelanguage of laws in the country and the language to be used inadministration and the dispensation of justice. While acknowledgingthe importance of the declaration, this paper argues that thisdeclaration alone will not make legal language any less difficult, andwill not get us to the equitable distribution of discourse resourcesbetween councel and witnesses at cross-examination, which is a morepressing problem. The paper suggests a review of the legaltranslation of the already ' translated ' documents, mounting a seriousplain legal language campaign for the judiciary; making the relationsbetween the law, justice and the Tanzanian public more cordial; andlastly, the paper suggests a closer look at the Adversarial JudicialSystem together with some elements of the Inquisitorial JudicialSystem to bring the equitable distribution of discourse resourcesduring the evidence stage.