Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile
Abstract
Makala hii inajadili kuhusu wakaa kama kipengele cha kibunilizi katika utunzi wa kazi za fasihi. Shabaha kuu ni kufafanua misingi iliyomwongoza mwandishi kutumia wakaa kwa jinsi inavyodhihirika katika kazi teule. Nadharia ya Umuundo imetumika kama kiunzi cha kukusanyia data pamoja na kuendeshea mjadala wa makala. Data za makala hii zilipatikana kwa kutumia njia ya udurusu wa nyaraka. Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa, ujenzi wa wakaa katika kazi teule umeegemea katika misingi ya kiutamaduni, kipokezi na kitajiriba.Downloads
Published
2023-05-17
Issue
Section
Articles
License
Authors who publish in Kioo cha Lugha retain the copyright to their work and grant the University of Dar es Salaam a non-exclusive license to publish, reproduce, and distribute the article.
This article is published under the Creative Commons Attribution 4.0 International (CC BY 4.0) License, which permits unrestricted use, distribution, adaptation, and reproduction in any medium, provided the original work is properly cited.
