
Ubainishaji wa Mitindo katika Methali za Wamasaaba nchini Uganda
Kioo cha Lugha
##common.published##: January 22, 2024
59
Article Views
All time
192
Downloads
All time
0
Citations
Source: OpenAlex
Activity (views + downloads) over time
Citations by year
No citation data available yet.
Abstract
Makala hii inafafanua mitindo katika methali za Wamasaaba nchini Uganda. Lengo kuu la makala ni kueleza jinsi methali za Wamasaaba zinavyotumia mitindo mahususi kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Utafiti huu umefanyika uwandani. Utafiti umeongozwa na Nadharia ya Uelewaji Ujumbe kwa kutumia lugha ya moja kwa moja. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa mitindo katika methali za Wamasaaba inahusiana na uteuzi wa maneno, idadi ya maneno katika methali, matumizi ya maneno ya kawaida, urejeleaji wa vitu vya kawaida, matumizi ya lugha kisanaa na matumizi ya maelezo katika methali badala ya maswali.https://dx.doi.org/10.4314/kcl.v21i1.8