
Yaliyomo
Mulika Journal
##common.published##: April 05, 2024
87
Article Views
All time
294
Downloads
All time
0
Citations
Source: OpenAlex
Activity (views + downloads) over time
Citations by year
No citation data available yet.
Abstract
Kwa mara nyingine tena Jarida la Mulika linawaletea wasomaji wake mkusanyiko wa makala kupitia Juzuu Na. 42 (2). Kama ilivyo ada, jarida hili linatoa matoleo mawili kwa mwaka, toleo la kwanza linatoka mwishoni mwa Juni na toleo la pili linatoka mwishoni mwa Disemba kila mwaka. Hili ni toleo la pili ambalo hutoka mwishoni mwa mwezi Disemba. Toleo hili ni mwendelezo wa toleo la kwanza ambalo hutoka mwishoni mwa mwezi Juni. Katika toleo hili kuna jumla ya makala 6 ambayo yamejikita katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na fasihi na isimu ya lugha ya Kiswahili.