Vol. 44 No. 2 (2025): MULIKA

					View Vol. 44 No. 2 (2025): MULIKA

MULIKA ni jarida la taaluma ya lugha na fasihi ya Kiswahili. Jukumu lake kuu ni kukusanya na kusambaza maarifa yanayohusu lugha na fasihi ya Kiswahili yaliyokitwa katika utafiti mpevu. Kutokana na mahitaji kwa baadhi ya watumiaji wa Kiswahili katika nyanja nyingine, hivi sasa jarida hili linapokea pia makala zilizoandikwa kwa lugha ya Kiswahili lakini zenye maudhui mengine nje ya lugha na fasihi ya Kiswahili.

Published: 2026-04-17